1 / 10
Askofu Michael Msongazila akiwa na Watawa wa Mitume wa Yesu(AJ) katika adhimisho la Kijimbo la siku ya sala Ulimwenguni kwa maisha ya kuwekwa Wakfu, katika kanisa kuu la Mt.Maria Musoma-Mjini
2 / 10
Frt.Zedekia akiweka kiapo cha Utii kwa Baba Askofu Michael Msongazila
3/ 10
Askofu Michael Msongazila akiwa na Masista wa Moyo Imakulata wa Maria(IHSA) katika adhimisho la Kijimbo la siku ya sala Ulimwenguni kwa maisha ya kuwekwa Wakfu, katika kanisa kuu la Mt.Maria Musoma-Mjini
4 / 10
Askofu Michael Msongazila akiwa na Masista wa Incarnate Word katika adhimisho la Kijimbo la siku ya sala Ulimwenguni kwa maisha ya kuwekwa Wakfu, katika kanisa kuu la Mt.Maria Musoma-Mjini
5 / 10
Frt zedekia akiwa amelala wakati litania ya watakatifu wote ikiimbwa
6 / 10
Askofu Michael Msongazila akiwa na Masista wa Moyo Imakulata wa Maria(IHSA) katika adhimisho la Kijimbo la siku ya sala Ulimwenguni kwa maisha ya kuwekwa Wakfu, katika kanisa kuu la Mt.Maria Musoma-Mjini
7 / 10
Familia ya Shemasi Zedekia Mwinura na Baba Askofu Michael MSongazila
8/10
Baadhi ya watawa walioshiriki katika Ushemasi wa Zedekia Mwinura
9/10
Baba Askofu Michael Msongazila akifungua Nyumba mpya ya Mapadri katika parokia ya Mugango
9/ 10
Nyumba Mpya ya Mapadri -Parokia ya Mugango
10/ 10
Mapokezi ya Baba Askofu Michael Msongazila katika parokia ya Mugango