NEWS & EVENTS

Askofu MSonganzila Akemea makundi utawani

Askofu wa Jimbo katoliki la Musoma Michael Msonganzila amekemea tabia ya makundi mbalimbali yanayoanza kuibuka ndani ya watawa,ambayo amesema hayaonyeshi dalili njema kwa ustawi wa Kanisa kwani kanisa sio .... read more


Askofu Msonganzila atoa tahadhari ya Corona

16/03/2020

Askofu wa Jimbo katoliki la Musoma Michael Msonganzila amesema kanisa haliwezi kuwa kanisa kama halina utume wa read more


Walimu msikaririshe wanafunzi-Askofu Msonganzila

Walimu msikaririshe wanafunzi-Askofu Msonganzila read more


Askofu Msonganzila asema walei ni nguzo ya Kanisa halmashauri ya walei nchini tanzania-askofu msonganzila

03/04/2019

Askofu Msonganzila ameyasema hayo Aprili 4 mwaka huu, wakati wa Misa Takatifu ya uzinduzi wa maadhimisho ya jubilei ya miaka 50 ya halmashauri ya walei nchini Tanzania, read more


Walei onyesheni ukomavu miaka 50 ya Halmashauri ya walei Askofu Msonganzila

03/04/2019

Askofu wa Jimbo katoliki la Musoma Michael Msonganzila amesema walei hawana sababu ya kuwa waoga wa kufichua vitendo vya uharifu ,vinavyotokea katika jamii ikiwemo rushwa na mambo mengine mengi,kutokana na wao kuwa kundi kubwa katika kanisa. read more