PADRI CONARD AFARIKI:Askofu Msonganzila Aadhimisha misa kumuombea.. 08/ 05/ 2021


Askofu Michael Msongazila tarehe 08/ 05/2021. Aliadhimisha misa Takatifu kwa ajili ya kumuombea Pd. Conard aliyefariki 30 april 2021.Pd. Conard alipatwa na mauti akiwa nchini marekani na 05, mei 2021 ulifanyika utaratibu wa kumpumzisha katika nyumba yake ya milele. Pd.Conard alifahamika kwa utume wake katika jimbo la musoma ambapo alipata kuhudumu kwa kipindi kisicho pungua miaka 40.